Uzi wa vyakula tu

.
downloadfile-3.jpeg
 
Dia unabalance vipi ishu ya uzito? Siri yoyote unayotumia kubalance uzito?
Maana wewe ni mpenzi wa kula inaonyesha
Huwa najitahidi kufanya diet once a year,nikiona nimeongezeka kidogo huwa sibweteki mazoezi siwezi,napenda kula Ndiyo lakin huwa kuna siku inapita nikisha pata breakfast nasahau kabisa kula nakuja kukumbuka kesho yako kuwa jana sikula na buffet za hotels najua kuzitendea haki ipasavyo
 
Hongera kwa kujijulia aisee
 
Similar Discussions

64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom