Nawaletea ITALIAN FOOD, waitaliano kwa vyakula ni namba moja duniani tena kwa mapishi mbalimbali ya vyakula wao wanaogoza, wao ni maarufu sana kwa SPAGHETTI (tambi) wenyewe huiita "PASTA" hii tambi yenyewe kuna yakawaida na nyingine wanayoita MACORONI na hutafautiana katika mapishi na mchanganyiko wa viungo mbalimbali na nyama.View attachment 1867509View attachment 1867510View attachment 1867511View attachment 1867512View attachment 1867513View attachment 1867516View attachment 1867518View attachment 1867520
Itume kwenye bus la MAJINJAH ntapokea keshoAnayejisikia kula pilau aje nimpe location [emoji4].
View attachment 1867748
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bamia ndiyo yenyewe.Katika masuala ya vyakula bora hiyo bamia ina thamani kubwa sana.Angalau leo umenisifia[emoji1787]
Mchicha wa kuchemsha nimekula sana asubuhi ndiyo maana mchana sijaula.
Pilau Nimekula kidogo mno leo,Nimekula zaidi kachumbari na nyanyachungu+bamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlenda wa bamia huwa naula sana ila unawahi kuyeyuka tumboni.Hiyo bamia ndiyo yenyewe.Katika masuala ya vyakula bora hiyo bamia ina thamani kubwa sana.
Upo mkoa gani nikutumie[emoji2960]?Itume kwenye bus la MAJINJAH ntapokea kesho
Kuyeyuka haraka tumboni ni jambo zuri sana na la msingi sana ila cha kufanya usiwe unaula peke yake kama chakula.Uwe unakula kama mboga wakati unakula chakula fulani kama vile dona au majimbi/viazi vilivyochemshwa.
Mimi huwa naula wenyewe ..ila nikila njaa huwa inaniuma vibaya mno[emoji1787]Kuyeyuka haraka tumboni ni jambo zuri sana na la msingi sana ila cha kufanya usiwe unaula peke yake kama chakula.Uwe unakula kama mboga wakati unakula chakula fulani kama vile dona au majimbi/viazi vilivyochemshwa.
Hapo sawa[emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutakupa hotpot lote,ule kadiri uwezavyo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119] salut aiseeee
Hewala! nipo mnangoni, nagonga mlango!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119] salut aiseeee
[emoji120][emoji120]Hewala! nipo mnangoni, nagonga mlango!
Huu mtindi nimeukubali, uko vizuri sana, tatizo hawajaweka lita 5[emoji2377][emoji2377][emoji2377]