Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,727
Bora tu nifunge nijulikane nmefunga.yes unaweza
mimi huwa nishazoea kufunga tatu kavu so hii hainisumbui hata kidogo na mazoezi mepesi huwa nafanya.
My favourite. Jembe na shin
Bora tu nifunge nijulikane nmefunga.
Yaani mie navopenda kula ukaninywishe mimaji tu. Khaa!!! Big no
Aiseeee
Hehehehe!Aiseeee
Lunch ya J2,hakuna kula,maji tu.
Kuleni jamani,mwili ukitaka utapungua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee
Lunch ya J2,hakuna kula,maji tu.
Kuleni jamani,mwili ukitaka utapungua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
DahNkamu wewe sio mnene, tuache vibonge
si unaijua miili ya kinyakyusa ina kupungua hii??
weee acha tu tupambane
Nitaanza August
Nakata mwaka kwanza
Dah
Diet ya maji haki siwezi.
Mtapata vidonda vya tumbo.
Natamani atokee mtu anipunguzie unene,nimpe wembamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twinhuwezi sababu mwembambaungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi