Nilionja siku moja, nikakinai. Wana harufu nyingine ya baharini vile.
My favorite
Karibu mkuuMy favorite
Ntajaribu siku moja...Jaribu kula ilokaushwa,
Roasted hainogi
Amekaushwa utamu yaani! π
Alafu upate tonge la dona ya mhogo! ππΎββοΈπ