Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii
Namuomba mdogo wako [wa kike] anayejua kupika Kama wewe.
Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii
Ahaha ni mdogo sana vuta subra akikua kua ntakufahamishaNamuomba mdogo wako [wa kike] anayejua kupika Kama wewe.
Ana miaka mingapi ili niwe mentor wake please.Ahaha ni mdogo sana vuta subra akikua kua ntakufahamisha
14 tu..Ana miaka mingapi ili niwe mentor wake please.
Ivi ile syrup ya tende ni nzuri?Hii yataka maziwa iliyotiwa syrup ya tende, weee
Manjonjo na mapozi hayo.Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii
Mi nimeitumia na naona poa tu, badala ya kueka sukari, nlkuwa natia ile syrup, kwa maziwa pekee.Ivi ile syrup ya tende ni nzuri?
Hizo hapo kando ni beetroot? Hizo zilinishinda kutafuna 🙄BismillahView attachment 1752508
Safi sana. Ntanunua na mie ntestMi nimeitumia na naona poa tu, badala ya kueka sukari, nlkuwa natia ile syrup, kwa maziwa pekee.
Ni onions nyekundu. Hata mimi beetroot HapanaHizo hapo kando ni beetroot? Hizo zilinishinda kutafuna
Oh, onions muhimu sana! 😋Ni onions nyekundu. Hata mimi beetroot Hapana
Mambo hayo EmiirNimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii