Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Kitu cha hot-chair, duh! β¨οΈπMy apology kwa ambao sio watumiajiView attachment 1718539
Msosi wa mechiDona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
Baada ya hapo naenda kumalizia ile nusu ekari iliyobakiMsosi wa mechi
Huu mzigo nimeuelewa, sasa hapo mzee baba na huo msosi ndiyo uwe sasa na mechi kama hii ya simba ya leo nahisi natupia double hat trickDona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
Hahahaha..angalia jembe lisijevunjika mpini
Mkuu kwani vita??Dona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
πVipi tena Ba mjengo
Hapana mkuu, salama tu brigedi hii.Mkuu kwani vita??
Shushia na hii
Moto Fire π₯ π₯ π₯ ππ
Kitu cha Potato mash sio?..safi