Nipatie ndumba kidogo please,nami mambo yangu yanyooke kama yako!Koma...
hii nimetoa insta huko boss..siwajui wahusikaKwa selebonge ?tatizo kucha hizo

🤣🤣🤣Lete hela
Mambo ya kizungu sio?..well,kama mnakuwa wasafi no probsikuizi kuna wipes
sikuizi kuna wipes
Ok,hiyo meza+msosi ni kwa selebonge tu kinohii nimetoa insta huko boss..siwajui wahusika![]()
Hizo wipes zitakua zinapima hadi Coronasikuizi kuna wipes
😀😀Pole Cecy
😀😀Ooh my apology nilitaja kuleta vionjo