dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
😅😅😅kwani jiraniUpo kwenye uzi wa mapishi utazidi kuwa chibonge, utakua muda wote unatamani kula
TH unaishi wapi nije?
😀😀😀njoo huku Moshi ufaidiTH unaishi wapi nije?
Sema nimeshajua wewe mvivu kupika
Sijapita humu siku hizi mbili, nakusalimia sana kipenzi changuai Jamani ni vile wiki hii niko safarini ndio maana nakula hivyo