Uzi wa vyakula tu

Aisee
 
December nakuja kukutembelea
Hakikisha haunipi wali mkavu bila chai,soda au juice

Bill hivyo nitashindwa kula

Tena huwa natoka nimebeba yangu kabisa emergency ikitokea
aisee umenitisha sana...najiuliza kama mimi ningekuwa nilizoeshwa hivyo katika hali niliyonayo sasa hivi hata sijui ningefanyaje. Kuhusu December wala usijali cha muhimu usikae siku nyingi
 
aisee umenitisha sana...najiuliza kama mimi ningekuwa nilizoeshwa hivyo katika hali niliyonayo sasa hivi hata sijui ningefanyaje. Kuhusu December wala usijali cha muhimu usikae siku nyingi

Nitakaa siku moja tu

Ungechemsha chai.
Hizo soda nakunywa hela ikipatikana..hela isipokuwepo ni mwendo wa chai tu na maziwa fresh.

Kuna kipindi nikiwa Dom nilikuwa nachemsha chai nakula na chips,watu wananishangaa
Yaani iwe asbh mchana, usiku nipo napambana tu na chai.

Secondary nilikuwa nabeba box la jolly juice.. nilikuwa siwezi kula kande kavu.

Yaani kuacha nashindwa,nikijaribu kujikaza bila kufanya hivyo nashindwa mwishowe najikuta nalala njaa
 
Aisee sasa huku Dar utakunywa chai mchana au usiku? Si unatsfuta kufa kwa joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…