Ni shida kwakweli, me mpaka uzikwangue ndo zinanogaMaharage yanaonesha yalikua matam.Basi mi carrot zikisimama Ivo kwenye mboga ya majani nashindwaga kuzila maweka pembeni.
Afya tupuFrom mama landView attachment 1506412
Dagaa mchele ππ nimewamiss mno, huku nilipo hata hawapo
Polee. Ukipata waliokaushwa vizuri ni raha ππDagaa mchele ππ nimewamiss mno, huku nilipo hata hawapo
Ni watamu sana. Yan umenitoa mate πPolee. Ukipata waliokaushwa vizuri ni raha ππ
Ni chakula gani?View attachment 1507868Amkeni tule..
Rosted pork meat πNi chakula gani?
Ina chura?Kitimoto ni ruksa?
ππππ aiseee
Hizo mbogamboga ndo zimenifanya nisiitambue.Ila tupo pamoja hapo.Rosted pork meat π
Aah na wewe ni wale wale ππHizo mbogamboga ndo zimenifanya nisiitambue.Ila tupo pamoja hapo.
Vipi gugo picha!?Kitimoto ni ruksa?
ππππππππ