The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Ugali mlenda, mtindi na kanyama kakuchoma...ugali wa kwenye chungu lakini wamotoo!!!
Nimejikuta naitengeneza picha ya Ugali na mlenda ghafla😋....Wikiend nitajipikia!
Nimemis Sana mlenda
Sawa nitazingatiaUwe mlenda wa kupika kwa kipekecho sio kijiko...
Hzo znaitwa mixing za nguvu mkuuIla kaka hizi mixing zako dah..inahitaji moyo! Au uko China nini mkuu?
Unashushia na healtho!
Shangaz hata karbu hamna!?
Karibu.Shangaz hata karbu hamna!?
Healtho ya siku hizi si tamu eti naona.Unashushia na healtho!
mhhhh mayai + maharage+ maziwa= ???Wali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaah shangazi me nasubr cha ucku unkaribsheKaribu.
Macaroni napenda apike mwingine mie ndiyo nile
Hiko ninakula full suit.Haaah shangazi me nasubr cha ucku unkaribshe
Hiko ninakula full suit.
Mchana na usiku.
Nipo peke yangu kwenye nyumba kupika uvivu.. Basi naishia kula kwenye vibanda vya chips.
Leo ndo nimetamani mchicha nimepika kivivuuuuuuu.
Eti unatengeneza bomu la kurusha kwa mkonomhhhh mayai + maharage+ maziwa= ???
Mhhhhhh utajamba sana aisee!
Mkuu leo ngoma ngumu hatujala watuLeo tumefunga hesabu ya mlo kwa picha chache sana.