dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
hahahah!! kila siku nina piga push up 120 na zoez la kutoshaKitambi hichooo
Jr
Nipe location
Unanitamanisha mweeAhsante
Karibu View attachment 1469380
Nipe location
Aisee
OhKaribu jaribu mpakani (pwani) moja
Hahah vipi mpendwa
Friday biriani au pilau nimeopt pilau.
View attachment 1469379
Njegere umeweka kwenye pilau eee? Nami pia niliweka kidogo.View attachment 1469388
Baada ya kukosa hela nimeamua tu kula njegere
Pilau bubu si linakuwa halina nyama?Hili pilau! Bubu uswazi wanasema
Karibu mamaUnanitamanisha mwee
Ooh! Nilikua sijaiona ila inaoneka kama wali
Leo nimependa nipike jeupe, siku nyingine napika kama hili.Ooh! Nilikua sijaiona ila inaoneka kama wali
Au ndio mapish mbalimbali
Akhsante sanaKaribu mama
Viungo vikizidi Sana huwa vinakera.Ooh! Nilikua sijaiona ila inaoneka kama wali
Au ndio mapish mbalimbali