dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Napenda sana maboga! Ktk mboga zangu tatu za majani haikosimaboga yametulia..Leo kiasili zaidi
Hongera...Mie nimekuja kuijulia ukubwaniiNapenda sana maboga! Ktk mboga zangu tatu za majani haikosi
Nimeshindwa kabisa kula prawns sijui kwa nini!
Duuh! Basi ulikua unakosa vitu adimuHongera...Mie nimekuja kuijulia ukubwanii,
Hapa umeongea mkuu..
Aww!Wiki ya mlenda na ugali tuView attachment 1468653
Napenda Sana ugali ila wa dona nimeshindwa kula kabisa kabisa
Bamia zitaota tumboni wewe dada..Wiki ya mlenda na ugali tuView attachment 1468653
Nyie wenyewe wataalamu wa afya mnatuambia tule vyakula vya kuteleza kukomesha madondaBamia zitaota tumboni wewe dada..