Niko safarini boss.
Mimi nilikumiss sana.View attachment 1460802
Mpo jamani nimewamisss... Haya kuleni kwa macho biriani ya prawnshiyo Mpishi mwenyewe
Mimi nilikumiss sana.
Unaniinspire mno upande wa vyombo wewe na da Tima kule mapishi fb.
Siku nyingi sana naachaje kukujua sasa kule niko active na huku pia.ushanijua Eeh Shukran love
Chips na pilau. Za siku mingi lakini.
Nimetamani hiyo mboga ya majani!
View attachment 1460802
Mpo jamani nimewamisss... Haya kuleni kwa macho biriani ya prawnshiyo Mpishi mwenyewe
Wewe ndugu nimekumiss balaa!!nilikuwa na vitu vyangu vya kukuuliza nikawa sikuoniView attachment 1461093
Jihogo na chuzi la chukuchuku la jodari
Wewe ndugu nimekumiss balaa!!nilikuwa na vitu vyangu vya kukuuliza nikawa sikuoni