Mtindi!
Bila paja sijala kuku😅
Nimejaribu kupika lime cake kuunga juhudi za kupambana na corona
Mama wawili wewe ni kiboko walahi!Nimejaribu kupika lime cake kuunga juhudi za kupambana na corona View attachment 1459484
mama wawili
Mama wawili unaishi wapi nije kukutembelea?Nimejaribu kupika lime cake kuunga juhudi za kupambana na corona View attachment 1459484
mama wawili
Sikushindi weweMama wawili wewe ni kiboko walahi!