Uzi wa vyakula tu

Hahah sina ushahidi..itabidi niongeze sasa kama ni kweli
Kweli bamia nyanya chungu na bilinganya aisee huo mchanganyiko special kwa wanawake unaongeza ule ute na pia hutokuwa mkavu for more expl njoo kwa majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…