nimeshakutumia'Lunch itakuwa poa
Nipe menu yako nione sasa
Umenitumia wapi mkuunimeshakutumia'
Ooh nilijua imeenda,kumbe haijaenda umefunga.Umenitumia wapi mkuu
Huu Uzi huwa na tembelea na pilipili kichaa kaliii nashiba
πππUsihau na maji π€£π€£π€£π€£
bless sana kwa chakula cha mchanaπ
mzee nasubili bapa kutoka kwako jion π¬
bless sana kwa chakula cha mchana