Karibu tugoogle 😂😂😂😂😂Dah....![]()
Nayo ni profession ya watu,ukisema uige ndo inakuwa ivo
Ulitaka ninenepe kichwa?We ndo maana unazidi kunenepa mashavu
Tuendelee tuu kugoogle ivo ivo,wenye wivu wachague moja kujinyonga ama kujiunga kundiniBasi acha tu nirudi kwenye ulozi wangu
I'm a great chef,naomba tenda niwe nakuletea lunch au supper
Hapana,churaUlitaka ninenepe kichwa?
Hayo majani majani mabichi ya kazi gani mashavu
Lunch nadeliver @ your work placeLunch itakuwa poa
Nipe menu yako nione sasa