UsafuGood Mornee brothers and sisters..!View attachment 1160238
Huu msosi unatia huruma kinoma..
Yani unakunywa maji yenye harufu ya limao for breackfast af mchana unakula hivi... hakika siku yako lazima iwe na masaa zaidi ya 24
Sijui hata nini kimenifanya nikachelewa kuona hivi.... Kimeshakuwa kiporo sasa
Hahaha polee, usubiri sasa siku nyingine tena tupate muda wa kupika hivyo.Sijui hata nini kimenifanya nikachelewa kuona hivi.... Kimeshakuwa kiporo sasa..
Mnh hichi hata kooni hakipiti