Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Siwatesi wenyewe nawapikia vyakula vyao, ila siku nitayokula mfano samaki wa kuoka basi kila mtu atasema yupo kwenye diet na yeye anataka





Yani unakunywa maji yenye harufu ya limao for breackfast af mchana unakula hivi... hakika siku yako lazima iwe na masaa zaidi ya 24
Huwa wanasema "When a woman of the family goes on diet, everybody in the family goes on diet" i hope huwatesi wenzako.




