dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Karanga za mayai
Ushuani huku nikaribishe😋
KaribuUshuani huku nikaribishe😋
Wewe itakuwa mwanachama mpya hapa
Asante,japo nipo kitambo kama mpenzi mtazamajiWewe itakuwa mwanachama mpya hapamikono miwili nakupokea.
Karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nyie kwenye huu uzi ni wauaji kweli! Hata roho za huruma na matumbo yetu hamna