Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Mhhhh mbona unapenda kuchunguza vya nje ya mada?una vidole vzr
Lazima tuchunguze vyoteMhhhh mbona unapenda kuchunguza vya nje ya mada?
Theme hapa ni misosi lakini wewe unapenda kuchunguza hata ambavyo havihusiki
Asantee!una vidole vzr
Ulete na wewe siku tuone vyako tukusifieLazima tuchunguze vyote
Sawa kakaUlete na wewe siku tuone vyako tukusifie
😀una vidole vzr
Umekuja kula kwa macho ee
Sio sana zaidi nilikuja kuona vidole maana niliona post yako kwa mbaaliUmekuja kula kwa macho ee
Sio sana zaidi nilikuja kuona vidole maana niliona post yako kwa mbaali
Hahaha Ayaupunguze umbea
Ni ya kweli naona
unamuamini sana masanja eti eeh??
akipiga promo mjini lazima kapewa kitu wewe, ungekuwa unasoma KIU ungejua vizuri
Mpiga hela huyo toka nianze kusikia eti anahubiri nilijua tapeli tu
Chaliii angu nirushie basi ata buku jero nkanunue mayai sijala toka jana usiku
Hilo ni yai au nn