Wakishua wewe unabisha nini?sio wa kishua tatizo vya ukubwani ndo vinanitesaπͺ
wiki sitoboi kabisa asee
πππ ukishua upo wapi hapo kijana yani mlo wa afu 6mia tano ndo uniite hivyoWakishua wewe unabisha nini?
Zege = 3000 + Kidari = 2500 + Pepsi = 1000, jumla =6500!π
Sie papatu papatu hatuwezi.