Sijui lini nile ugali 😂😂
We hujakua serious tu 😁Sijui lini nile ugali 😂😂
Bado sijafanikiwa
nimegundua huu uzi sio wa kuingia kama una njaa au huna hela
nimegundua huu uzi sio wa kuingia kama una njaa au huna hela
tunatesana kihisia
😂😂😂 nashangaza eheeWe hujakua serious tu 😁
😂😂 shaka ondoa. Nyama zao ziko makini sanaView attachment 2966221Depal naomba siku nikija Arusha uniambie hii steak nikale wapi. It looks amazing!!! 🤤 🤤
Aisee yametulia sana
Just shows we sio mpenzi kihivyo. Mi nisipokula muda mrefu naumiss!🥴😂😂😂 nashangaza ehee