Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Hapana kwakweli 😆😆Mara ya mwisho kujipikisha ugali kwangu. 😂😂😂 Dr Lizzy View attachment 2966226
Mie huwa nanunua 1kg ya unga tunakula mpaka tunachoka, ila we umetia fora!😁
Hapana kwakweli 😆😆Mara ya mwisho kujipikisha ugali kwangu. 😂😂😂 Dr Lizzy View attachment 2966226
Aisee😂😂 shaka ondoa. Nyama zao ziko makini sanaView attachment 2966221
Maziwafresh unayachemsha. Alafu unapunguza moto, yakipoa kidogo joto mithili ya maji ya uvuguvugu unaongezea vinegar au limao kidogo. Baada ya hapo utaona yameform mabonge, hayo mabonge ndiyo cheese yenyewe, maji unayamwagaInatengenezwaje ndugu?
😒Tambi mixer samaki
View attachment 2967624
Njoo tule dada yangu
Aisee hili chimbo linaitwaje??😂😂 shaka ondoa. Nyama zao ziko makini sanaView attachment 2966221
Wraps - ArushaAisee hili chimbo linaitwaje??
Thanks, inabidi nipite hapoWraps - Arusha