mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
siboreki, ntakula homeππ huboreki? Nyongeza na ndizi, chips
sogelea na ndiziβ¦siboreki, ntakula home
chipsi, mihogo napigaπ
chai ndo sinywi ni ushamba
Huku wengine ugali ndio Valentine wetu nisipokula week naumwaπ.Nimemiss ugali. Mara ya mwisho nimeula Dar dec π
huo wali mbona kama umezidishwa maji( bokoboko)Wali mixer kuku wa kiitaliano
View attachment 2905442
mbona mifupa mitupu yakhe
Lizzy color ya hayo matundaπ₯°
Unafikiri huu ni wali kama wa kwenu huko Tanzania ndio maana mnakatiwa umeme Kila mdaπ€£πhuo wali mbona kama umezidishwa maji( bokoboko)
Mashavu yataongezeka sipati pichaπ
Jamani....π€£π€£π€£π€£Unafikiri huu ni wali kama wa kwenu huko Tanzania ndio maana mnakatiwa umeme Kila mdaπ€£π
πππ€£π€£Jamani....π€£π€£π€£π€£
Sijapenda ulivyotufokea wala vumbi wote, kisa tu mtu mmoja!ππππ€£π€£
πππJamani nisamehe Dr LizzySijapenda ulivyotufokea wala vumbi wote, kisa tu mtu mmoja!π