babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Mbona kama portion ya siku mbili we unasema kidogodogo?Kiwali changu kidogo dogo Usiku ukapita.View attachment 2644702
Mbona kama portion ya siku mbili we unasema kidogodogo?Kiwali changu kidogo dogo Usiku ukapita.View attachment 2644702
Asante mammy lolo najitafuta hapa.
Nmeona asee harage limekolea nazihalafu kiwali hicho na maharage yake vina Nazi Mimi tangu mtoto huniambiii kitu hapo.
Aina ya msosi naotamani kula muda huu
Karibu!!!Aina ya msosi naotamani kula muda huu
Wanawake wanaojielewa