Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,174
Gas mkuu.
Umechemsha kwenye jiko la mkaa?
Umechemsha kwenye jiko la mkaa?
Shafika kipenzi njaa😋Kuliwa wataliwa tu 😁😁View attachment 2638226
Enhee sasa umenikumbusha ninayo hayo ngoja nikachemshe😋
Ulikula mahindi na ubwabwa?
Noo 🤣Ulikula mahindi na ubwabwa?
Depal😄
Okay, hiyo kombi sikuielewaNoo 🤣
Huo wali ni nyumba nyingine, na mahindi ni nyumba nyingine…

Kiwali changu kidogo dogo Usiku ukapita.View attachment 2644702
kombo ya wali maharage haijawahi kupingwa tangu dunia iumbwekombo ya wali maharage haijawahi kupingwa tangu dunia iumbwe

halafu kiwali hicho na maharage yake vina Nazi Mimi tangu mtoto huniambiii kitu hapo.Shafika mammy njaa kweli hapa nadoea kidogo tu. 🙏
Nadoea dear hiki kinatosha kabisa najua humalizi mwenyewe