NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Upate na Mango passion juice ya bariiiiiidi.View attachment 2469045
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemfollow, kipindi ana restaurant yake Mwanza pale U-turn nilikuwa mteja wake sana. Mpaka leo nakula kwa macho tuu kwenye post zake.Huhu umemfollow foodlover?
Malimao😅🤣 sina uhakika lakini.Ni juice gani zinapunguza mwili na tumbo ?
Anajua kupikaNimemfollow, kipindi ana restaurant yake Mwanza pale U-turn nilikuwa mteja wake sana. Mpaka leo nakula kwa macho tuu kwenye post zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikunywa juice ya ukwaju uwiii koo kama limechubuka hiviiMalimao😅🤣 sina uhakika lakini.
Wataalamu wajuice watusaidie.Nilikunywa juice ya ukwaju uwiii koo kama limechubuka hivii
Karot na tangoNi juice gani zinapunguza mwili na tumbo ?
Mideko. Sjui unani crushia😋,una like post zangu kila siku hasa za miaka ya 2017-21 ,nifungukie tu Mama,be a Hell of a Lady😀, kama nakuona unavoeleza hisia zako😋
Let love leadView attachment 2470111View attachment 2470112
Binti wa watu sijuinimemfanya nini, Love is indeed a crime
