Hakuna shida litafuliwa tuuuMdau utachafua Zulia
🤣🤣🤣🤣 Ata ile nyingine nayo sura mbaya ila tamuuuuSijui kwanini vitu vyenye sura mbaya vinakuwa vitamu sana
pole,mi shabiki wa karanga ila nazianza mapema nikijua ntakula tena badae
Nilikuwa nimetafuna karanga..tumbo likajaa
Wali ndondo wa hivi nahisi ninge enjoy sana
Kuna nyingine zina sura nzuri kinyama mkuu..Ata ile nyingine nayo sura mbaya ila tamuuuu
Nakubalia na wewe...yaani unataka kuzichum chum tuuKuna nyingine zina sura nzuri kinyama mkuu..
Mh ww hata usisingizie karanga kila siku ulaji wako ndio wa hivi,unatakiwa kufanya diet kabisaaaaaa auntie
Nilikuwa nimetafuna karanga..tumbo likajaa

Kwa Hii ratio watoto wa kike mnayokula