HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
Kiongozi siku hizi sikuelewi elewi ujue.
Naona mambo ya vitu laini laini
Kiongozi siku hizi sikuelewi elewi ujue.
Kiongozi usiogope, Mpishi kasema leo tubadilishe ratiba kwahiyo hakutopikwa Fried RiceNitaingia huku kwa machale sana.. Nitaingia nikiwa nimeshiba
Hapa umenikamata haswa, huu Mlo wa haja.
Naomba mwaliko wa kushambulia hiyo mezaDelicious View attachment 2230765
Mtakujaga kufa nyie🤣🤣🤣🤣
Mtakujaga kufa nyie