Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Hii shoo ya mtu mmoja?
Matembele, jamani
Usijali one day nitakuja kweli, nasubiri nimalize pirika nilizonazo kwanzaRangi Tatu
Unaupiga mwingi binti..
Asante bossNapenda sana Vyakula vyako.
Kama mamaUnaupiga mwingi binti..
Kuku ana kidali kama cha konde boy (tembo)
Hongera naona ugali mkubwa sana! Kwangu tunakula watu wanne huoNdio, shoo ya mdada wa kisukuma