Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hiyo Chips Dume inavutia.

1877207_GBWA-20180927132927.jpg
Uwiiiii
 
Swala sio kubana matumizi bali hata nikikuachia buku, maisha yanakwenda!
Nampenda sana mtu anaejipimia kiasi cha chakula na aie anaejijazia kisha hamalizi na kukimwaga!!
Hata jero tu maisha yanaenda

Hapo ujue kuna sehemu utacompansate,,kama siyo kwenye nguo basi ni kwenye kunukia.
 
Back
Top Bottom