Pole sana! Siku nyingine unikubalie lile ombi langu nimalizane na kaka yako!
Mimi kuna point inafika siwezi kula kumaliza hata iweje.Sa tutanenepajeinabidi uweze kumaliza sio kumwaga kwan wanaoweza hua wanawezaje,,,wanajitahidi tu
Jana sikuwa na tunda lolotetuongeze sahani mbili za matunda hapa
Kinatamanisha kuliwaCha mchana! View attachment 1971788
SanaaKinatamanisha kuliwa