Mama mjengo naona umeibwa na wasiojulikanaSuper breakfast
Haha, ninasubiri ukombozi wako Baba mjengo...Mama mjengo naona umeibwa na wasiojulikana
Mwenye mji amerudiHaha, ninasubiri ukombozi wako Baba mjengo...
Kitu pambeee
😋😋😋 ukimaliza hapo ni usingz full
Usingizi asubuhi yote hii? 😂😂😋😋😋 ukimaliza hapo ni usingz full
Shibe haina adabuUsingizi asubuhi yote hii? 😂😂
Zinanoga sanaSikujua kama KANDE zinaweza kuliwa kwa Kachumbari.
Ahsante MDAU kwa kuniongezea utaalam kwenye masuala ya UMELO
Ndio unamaliza au unaanza mbona kama sishibi
Jana sikuwa na mboga wala tunda lolote.Niliamua kula wali mkavu.Mnyaki, wapi Parachichi?
Ndio unamaliza au unaanza mbona kama sishibi