Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
Najua,na mara nyingi maeneo ya jeshi.huikuti sokoni
Tengeru zipo kibao
Konokono wanaoshwa inatakata
Najua,na mara nyingi maeneo ya jeshi.huikuti sokoni
Naona una nia ya kumfunika bwana ndege JOHN 😁😁😁Mix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa fresh 😁😁😁afya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
Aisee hapa ni kiwanda cha viwatilifu wa ile bidhaa ya kuzalishia watotoMix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa fresh [emoji16][emoji16][emoji16]afya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
Sildenafil a.k.a viagra haiingii ndani hapo..Mix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa fresh [emoji16][emoji16][emoji16]afya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
😂 😂 😂Sildenafil a.k.a viagra haiingii ndani hapo..
Ndio mkuu 😁Aisee hapa ni kiwanda cha viwatilifu wa ile bidhaa ya kuzalishia watoto
Haha, kiasi tu 😁Naona una nia ya kumfunika bwana ndege JOHN 😁😁😁
Unawezaje kula ubwabwa na vijiti?
Aahh jamanii [emoji22].