Uzi wa visivyojulikana

Uzi wa visivyojulikana

dac40efa386160068334317819ceeb11.jpg

Watu wasioujulikana wakimuangalia mfuasi wa chama flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeamka naumwa ugonjwa usio julikana. Nimeenda hospital. Dr. asiejulikana amenipima vipimo visivyo julikana. Nipo hapa nasubiru majibu yasiyo julikana
hahahahah
 
those who are not known....imenikumbusha movie flani hivi ya vichekesho.hmo ndani palikuwa na ..those who do not speak...
 
Back
Top Bottom