Uzi wa visivyojulikana

Uzi wa visivyojulikana

View attachment 584473watu wasiojulikana wakishambulia...
.
.
.
.
.
.
.
Imejulikana hakuwepo Dar
.
.
.
. View attachment 584478

Jr
tapatalk_1504884995710.jpeg

Sasa mshana jr, manunguri yako nimeanza kuyaelewa
 
Uko vizuri kwa ushauri ila hata hivyo umenichekesha ujue!

Hivi hiyo Noah nyeusi ni moja ya zile gawio kwa kila Mtanzania zitokanazo na malipo ya trilioni 400 toka Acacia?
Wewe unaongeza idadi ya watu wanaotafutwa na watu wasiojulikana.
 
Imekuwa ni tabia ya Mshana Jr, mara kwa mara akianzisha Nyuzi, ambapo Maudhui yake huyafahamu yeye mwenyewe (kwa 100%) na kuwaacha wengine watafakari kuumiza Vichwa, kutafuta majibu kwa kile/ile Mada aliyoleta..

0c92baa2e8ff416b8d618d7b492805c5.jpg

Hii ina faida na hasara zake, kwani wapo wageni kutoka katika social media mbalimbali, zilizo katika mfumo wa intertainment/ leisure (kiburudani zaidi)
Kuliko kuumiza kichwa, kutafakari na kupata majibu ya maswali yako, yasiyo mepesi.

ef259a792b0497c6bd3d844fb1caa367.jpg

Jaribu kutafakari UZI huu wa WASIOJULIKANA..!!

Ingia deep (ndani zaidi) huu si uzi wa kukufikirisha jambo kirahisi rahisi....!!

Watu hawa wapo, wanafamilia zao, wanalipwa kwa kazi yao, kuna wengine hutoka kwenye Makampuni, wakati wengine wako katika vikundi vinavyo jitegemea, na wengine ni "SOLO" yaani jeshi la mtu mmoja...!!

dcd4f7383669ee4970a6ca8b9485fc68.jpg

Sniper's waweza kuwa katika kundi hili, Panya road waweza kuwa katika kundi hili, Askari mtiifu na mwenye akills na weledi wa hali ya juu, nae anaweza kutumika katika kundi hili (WASIO JULIKANA) n.k.

Hii ni jamii/kundi la watu wa KUOGOFYA na kujaza watu Khofu (woga)

Hili ni kundi ambalo kazi yao kubwa ni kufanya Operation (hasa za kihalifu) ambazo uiacha jamii na maswali na majibu ya sintofahamu...!!

d26ffd565d766e70514372bb2625c3ae.jpg

Ni vyema Serikali yetu ikatupa majibu, je lini watu hawa Wasio julikana, Ni raia wa Ndani ama Nje ya mipaka yetu...!?

Je wanapewa ruhusa ama mamlaka ya kufanya matukio haya ya kihalifu, kwa udhamini ama kulipwa na nani...!?

Watu wasio julikana, ni kweli Serikali imeshindwa kupambana nao...!!

ac19686a0f7405603d49a45eeb99c6be.jpg

Hali sasa si shwari tena, kama polisi wanavyo tuaminisha Raia wake....
Ni bora ianzishwe Operation (halali) ya Mkoa hadi mkoa, Wilaya hadi wilaya, Nyumba hadi nyumba, Mtaa kwa mtaa, pengine kwa kufanya hivi, na kushirikiana na Raia wenye mapenzi ya kweli na Amani ya Nchi yetu (Tanzania)

Kundi hili la "Wasiojulikana" linaweza ama kubainika, au kukimbilia nje ya Mipaka ya Nchi yetu, hivyo kutuacha Salama Salimini na Amani yetu...!!

Hari kwa sasa ni ya KUOGOFYA na KUTISHA.....!!

Mungu Ibariki Tanzania...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekuwa ni tabia ya Mshana Jr, mara kwa mara akianzisha Nyuzi, ambapo Maudhui yake huyafahamu yeye mwenyewe (kwa 100%) na kuwaacha wengine watafakari kuumiza Vichwa, kutafuta majibu kwa kile/ile Mada aliyoleta..

0c92baa2e8ff416b8d618d7b492805c5.jpg

Hii ina faida na hasara zake, kwani wapo wageni kutoka katika social media mbalimbali, zilizo katika mfumo wa intertainment/ leisure (kiburudani zaidi)
Kuliko kuumiza kichwa, kutafakari na kupata majibu ya maswali yako, yasiyo na majibu mepesi.

ef259a792b0497c6bd3d844fb1caa367.jpg

Jaribu kutafakari UZI huu wa WASIOJULIKANA..!!

Ingia deep (ndani zaidi) huu si uzi wa kukufikirisha jambo kirahisi rahisi....!!

Watu hawa wapo, wanafamilia zao, wanalipwa kwa kazi yao, kuna wengine hutoka kwenye Makampuni, wakati wengine wako katika vikundi vinavyo jitegemea, na wengine ni "SOLO" yaani jeshi la mtu mmoja...!!

dcd4f7383669ee4970a6ca8b9485fc68.jpg

Sniper's waweza kuwa katika kundi hili, Panya road waweza kuwa katika kundi hili, Askari mtiifu na mwenye akills na weledi wa hali ya juu, nae anaweza kutumika katika kundi hili (WASIO JULIKANA) n.k.

Hii ni jamii/kundi la watu wa KUOGOFYA na kujaza watu Khofu (woga)

Hili ni kundi ambalo kazi yao kubwa ni kufanya Operation (hasa za kihalifu) ambazo uiacha jamii na maswali na majibu ya sintofahamu...!!

d26ffd565d766e70514372bb2625c3ae.jpg

Ni vyema Serikali yetu ikatupa majibu, je lini watu hawa Wasio julikana, Ni raia wa Ndani ama Nje ya mipaka yetu...!?

Je wanapewa ruhusa ama mamlaka ya kufanya matukio haya ya kihalifu, kwa udhamini ama kulipwa na nani...!?

Watu wasio julikana, ni kweli Serikali imeshindwa kupambana nao...!!

ac19686a0f7405603d49a45eeb99c6be.jpg

Hali sasa si shwari tena, kama polisi wanavyo tuaminisha Raia wake....
Ni bora ianzishwe Operation (halali) ya Mkoa hadi mkoa, Wilaya hadi wilaya, Nyumba hadi nyumba, Mtaa kwa mtaa, pengine kwa kufanya hivi, na kushirikiana na Raia wenye mapenzi ya kweli na Amani ya Nchi yetu (Tanzania)

Kundi hili la "Wasiojulikana" linaweza ama kubainika, au kukimbilia nje ya Mipaka ya Nchi yetu, hivyo kutuacha Salama Salimini na Amani yetu...!!

Hari kwa sasa ni ya KUOGOFYA na KUTISHA.....!!

Mungu Ibariki Tanzania...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mie sijulikani kaeni mbaliiii nitawatengua vikombe vya magoti
 
Back
Top Bottom