DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Nani huyo hakuwepo dar ?
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Bar.shit.e.Wakati wa tukio mubashara...kwa apendavyo sifa mbele ya kamera asingekosa kuuza sura magogoni...Nani huyo hakuwepo dar ?
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Wewe huogopi watu wasiojulikana?Bar.shit.e.Wakati wa tukio mubashara...kwa apendavyo sifa mbele ya kamera asingekosa kuuza sura magogoni...
KweliBar.shit.e.Wakati wa tukio mubashara...kwa apendavyo sifa mbele ya kamera asingekosa kuuza sura magogoni...
Nikiogopa "watu wasiojulikana" nitakuwa nakimbila kivuli changu mwenyewe...
Alikuwa kulikojulikana.Kufanya yaliyojulikana na watu wasiojulikana...Kweli
nlitegemea jana iculu.
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Nikiogopa "watu wasiojulikana" nitakuwa nakimbila kivuli changu mwenyewe...
bado tunakuhitaji aiseeNakubaliana nawe (nimecheka)!Ila "watu wasiojulikana" hata ukikaa kimya watakutafutia visa tu kwa kukuuliza kwanini umekaa kimya?
Haha sawa bwana Ila angalia usije ukapelekwa kusikojulikanaNakubaliana nawe (nimecheka)!Ila "watu wasiojulikana" hata ukikaa kimya watakutafutia visa tu kwa kukuuliza kwanini umekaa kimya?
Hahaha!Watanipatia wapi wakati mimi mwenyewe ni mtu nisiyejulikana?
Watakapokubeba kwenye Noah nyeusi ndio utajuaHahaha!Watanipatia wapi wakati mimi mwenyewe ni mtu nisiyejulikana?
Uko vizuri kwa ushauri ila hata hivyo umenichekesha ujue!
DuuuHajajjdjjxjjxjuhsipdlkvmnnndytywioeldkdjjsywyxgsjskmnññmmzmxmhsjkahsuocknsjoal
Sent using Jamii Forums mobile app
