Matajiri mara nyingi tunaamini masikini Ni wavivu lakini sio kweli

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Kwema jamani!
Mara nyingi watu tukiwa na umwezo huwa tunaimani kwamba masikini walio wengi ni wavivu .

Nimejaribu kufuatilia kiundani nimegundua Hawa jamaa wanapambana usiku na mchana but Neema ya Mungu haipo upande wao kwa Sasa.

Hivyo ukiwa juu jitahidi kumuomba Mungu akupe Neema ya kuendelea kuwa imara kiuchumi pia karibu kuwashika mikono waliochini ambao unadhani wanauelekeo halisi wa mapambano ya kiuchumi.
 
Hoja nzuri sana. Binafsi nimekuwa nikiifikiria sana.

Kitu muhimu kuelewa ni kwamba, katika maisha, mambo mengi hayako katika ndiyo/hapana, off/on, mambo mengi yapo katika spectrum, mchanganyiko, probability, percentage.

Kwa hivyo, swali zima la "umasikini wa masikini unasababishwa na uvivu, kweli/si kweli?" lina makosa ya kufikiri kwenye hizo absolute terms za false dichotomy ya ndiyo/hapana.

Suala muhimu zaidi ni, asilimia ngapi ya umasikini inasababishwa na uvivu? Kuna probability gani ya mtu kuwa masikini akizaliwa Tanzania?

Kwa sababu, mtu mwingine anapozaliwa tu tayari kashashinda bahati nasibu ya kuuaga umasikini.

Unaweza kumsifia Mo Dewji kwamba amekuwa si masikini kwa sababu yeye si mvivu kweli?

Sawa, inawezekana Mo Dewji si mvivu, kajiongeza sana, kapiga shule mpaka Georgetown, kajifunza biashara za familia.

Lakini, angalau yeye kakuta familia ina biashara kubwa tayari. Angalau yeye kakuta familia inaweza kumpeleka Georgetown University tayari. Hivyo kuna mambo mengi kapata kwa urahisi.

Kuna watu wengi sana wana ari ya kazi kama ya Mo Dewji, na pengine kumzidi, lakini wameishia kwenye umasikini kwa kukosa support system, kwa kukosa bahati ya kuzaliwa na wazazi matajiri, kwa kukosa kujuana na watu wenye kuweza kuwapa mikopo na mentorship.

Ukimuangalia Aliko Dangote naye ni hivyo hivyo. Kwao kulikuwa na biashara kubwa zamani sana.

Sasa, watu kama hawa, hata wakifanya jitihada binafsi kidogo tu, mtandao wao wa kifamilia unawainua sana tu.

Na kuna wengine wa daraja la kajambanani, hata wakijiongeza saaana kwa kupigania maisha, ile kukosa mtandao mzuri wa kuwasaidia tu kunawaangusha sana.

Kwa hivyo, tukiangalia spectrum ya asilimia ngapi ya umasikini au utajiri wa mtu inatokana na juhudi binafsi, tunaweza kukuta hata kama juhudi binafsi ipo, sehemu kubwa inabebwa na bahati ya kuzaliwa na wazazi matajiri, kuwa na network nzuri, na pengine bahati tu ya kuwa sehemu nzuri, wakati mzuri. Kuna sababu nchi kama Marekani ina mabilionea wa US dollars wengi sana kulinganisha na Tanzania.

Sikubaliani na Andrew Tate kwenye mambo mengi sana. Lakini, alisema kitu kimoja nakubaliana naye.

Alisema kwamba, ukiwa mtu masikini uliyezaliwa Tanzania, naweza kuelewa kwa nini wewe ni masikini, lakini ukiwa umezaliwa Marekani, ukawa mtu masikini, basi hapo umejitakia mwenyewe.

Andrew Tate is a dickhead, lakini hapa namuelewa. Alimaanisha ile bahati tu ya kuzaliwa Marekani tayari umeshashinda bahati nasibu ya kuongeza nafasi za kuwa tajiri kulinganisha na mtu anayezaliwa Tanzania.

Wewe unafikiri Bill Gates angezaliwa Tanzania angekuwa bilionea wa dunia? Kwani Tanzania siku aliyozaliwa Bill Gates hakukuwa na watu wenye uwezo wa kiasili kama wa Bill Gates waliozaliwa siku hiyo?

Wako wapi sasa?

Kwa hivyo, mara nyingi tunaangalia sana juhudi binafsi za mtu, kuliko kuangalia sehemu ya bahati.

Inabidi tuangalie sababu kama spectrum, kama percentage, kama probability, si absolutes za yes or no.
 
Kwahiyo mkuu , mazingira na Bahati ndo vitu vinaweza mfanya MTU kuwa masikini au kuwa tajiri.
 
Unarudi kule kule nilikokataa kwenye kuangalia upande mmoja.

Sitaki kudogosha nafasi ya juhudi binafsi. Kuna watu wanazaliwa kwenye umasikini na wanafanya juhudi binafsi zinazowainua.

Lakini, hata hao watahitaji bahati kukutana na mentors, kupata michongo fulani, kupendwa na watu tu. Mambo mengine hata ufanye jitihada vipi, kama huna bahati huyapati tu.

Mimi nilikuwa nafikiri baba yangu ni mmoja wa watu hawa. Kasomeshwa na serikali, kapanda ngazi mpaka juu kabisa civil service Tanzania.

Lakini, nikaja kugundua yeye mwenyewe kazaliwa kanisani, baba yake alikuwa mchungaji, watoto wa kanisani na watoto wa machifu walipata advantage fulani kwenye kusoma awali kwa sababu kanisa lilikuwa kitovu cha usomi, kusoma biblia etc. Kulikuwa na muingiliano wa tamaduni za kutoka Ulaya kupitia kanisani. Hivyo tayari alipata bahati ya kuzaliwa sehemu inayothamini usomi. Hakuanzia from scratch. Hivyo, haishangazi alivyokuja kuwa msomi. Ingawa ni kweli aliweka jitihada binafsi kubwa sana na kuna wengine walitokea hapohapo kanisani lakini hawakuwa wasomi.

Mara zote sababu za mtu kuwa masikini au tajiri ni mchanganyiko wa mazingira na bahati upande mmoja, na juhudi binafsi upande wa pili.

Na mpaka leo mtoto anayezaliwa familia ya kifalme ya Uingereza hawezi kuwa masikini.

Yani hata akijisema yeye ni masikini kwa viwango vya familia ya kifalme ya Uingereza, basi kwetu Tanzania ni bilionea.

Hapo unaona jinsi mazingira na bahati yalivyo na umuhimu.

Marekani kuna masikini, lakini masikini wa Marekani wengi ni matatizo ya afya ya akili na madawa ya kulevya. Mtu asiye na kazi anaweza kulipwa kwa mfano mpaka $3,300 kwa mwezi na serikali, kwa mpaka miezi sita ya awali ya kutokuwa na kazi. Huo mshahara wangapi wanaulilia Tanzania? Sasa hapo utaona kuzaliwa Marekani tu kunaweza kukupa advantage ya kuupiga chenga umasikini hata kama mtu ni mvivu.

Na wakati huo huo, ukizaliwa Tanzania unaweza kuwa mtu wa kujiongeza sana lakini ukakosa hata bundle ya kubadilishana mawazo na watu mitandaoni, au ukawa na bundle lakini hujui kuandika proposal Kiingereza kuomba mkopo nafuu www.kiva.org

Kwa sababu ya bahati tu umezaliwa nchi ambayo haijatawala dunia na kufanya lugha yenu ndiyo iwe lugha ya kimataifa ya biashara.

Kuna watu wanaitoa kwa kuzaliwa nchi inayoongea Kiingereza tu.

Yani mtu akifulia sana anaenda Korea tu kufundisha Kiingereza mambo yake yanakuwa poa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom