Huu Hapa Mfumo Unaoongoza Kufungwa Kwa Sasa Majumbani

PrimeTech255

Member
Jan 16, 2024
16
9
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni na mpaka kufikia Mwaka 2020 rekodi zinasema video door bell milioni 7.9 zimefungwa Kwa watu mbali mbali duniani kote.

✨ Ilikuaje huu mfumo ukagundulika na je mpaka Sasa tunazungumza zimeuzwa video door ngapi na hapa Tanzania zimeingia mwaka gani hii ni story ya siku nyingine. Kaa nasi

Anyway

✨ Kila kitu kinachopendwa kina sababu nyuma yake na leo utafahamu kwanini video door bell ni muhimu uifunge ama uanze kuiandalia bajeti (sikupangii matumizi 😄)

Sababu ni hii hapa⬇️

📍Unamfahamu aliopo mlangoni kwako pasipo yeye kujua upo ama haupo.
Hii haikuwa sababu mahususi ya Bw Siminoff kugundua mfumo huu ila watu wameoneka Kufunga mfumo huu kwa lengo la kumtambua anaewatembelea.

Nina Imani hii imekukuta sana Kufungua geti ama mlango wako Kwa lengo tu la kumfaham aliopo getini kwako na muda mwingine unakasirika umepoteza muda wako bure nk. Hivo mfumo ukaja kukuwezesha kumuona mgeni wako katika muonekano angavu pasipo kulazimika kufungua geti lako.

✨ Faida nyinginezo ni kama ⬇️

📍Kuzungumza na mgeni pasipo kufungua geti ( mnasikilizana vizuri Kwa usikivu na kuelewana).

📍Kujua nani alikutembelea Kipindi ambacho haukuwepo nyumbani.

📍Unaweza kuitumia kama Mbadala wa Cctv camera (kumonitor eneo la geti lako)

✨ Nawatambulisha kwako primeteshsolution
Mafundi wenye ujuzi wa kukufungia mfumo huu tuliotoka kuzungumza hapo

✨ Package nzima pamoja na ufundi vitakugharimu
Tsh 420,000 yes hujakosea ni Laki nne na elfu ishirini tu mfumo unafungwa kwenye eneo lako.

Tunapatikana Dar es Salaam lakini pia tunafanya kazi nchini kote 🇹🇿

☎️ 255 765 576 003

Ahsante Kwa kutuchagua 🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom