Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,912
- 21,969
Nakazia zaidi, jamaa anatumia nguvu sana, angeacha kuchekesha akaendelea na u-mc
Sure
Nakazia zaidi, jamaa anatumia nguvu sana, angeacha kuchekesha akaendelea na u-mc
Wale wana vipaji.. Hawatumii nguvuHahahaha hilo kundi la wakina tiny white nawakubali sana
Zinadetect joto la mwili, kukiwa na barid zinapanda kutafuta ile core temperature then kukiwa na joto sana zinalegea kufanya cooling. Zinatakiwa ziwe kwenye joto la kawaida. Ndio maana boxa kubwa hiz ni nzuri kuliko hizi za kubana au chupiAmri ya kupanda huko kutafuta joto zinaipata kutoka kwa nani?
Na zinajua vipi baridi imeisha ndio ziteremke?
Mkali wenuWadau heri ya mwezi mtukufu.
Moja kwa moja kwenye mada.
Katika pitapita zangu kwenye mitandao account mbalimbali nikagundua kwamba kuna watu kipawa cha kuchekesha wameparamia yaani hawana kabisa na hata hawaleti hisia za kucheka.
Uzi huu niwakusaidia kuwataja wanao boa kwenye hii Tasnia .
Kuwataja hapa itasaidia kwao kujierekebisha kuliko kuendelea kula Mb zetu .
Karibu
Kuna mr rivela nae anajuaMkali wenu
kuna mchekeshaji anaongea design kama mtu wa Arusha sijui WHOZU wanaangaika kupewa promo na ukabira ndio unawabeba lakini hakuna kitu pale ni utumbo tu, mchekeshaji bora bongo ni joti na mpoki basi.
Ina maana mpoki umuelewiKuna tofauti ya kuchekesha na kutengeneza clip za Instagram
Bongo wengi ni watengenezaji wa clip za matukio ya umbea Instagram
Mchekeshaji wa Instagram akihamia adhira nyingine ni uchafu kabisa
Wachekeshaji wangu bora ni Joti na Brother K basi wengine watafute kazi za kufanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ukhanithi mkuu...hivi kama wazazi wako hawakupata mtoto wewe unaweza kupata?
Mpoki mimi mara nyingi ananivunja mbavu saanaa katika kuongea sio vitendoIna maana mpoki umuelewi
Tiny white huwa ananichekesha mana jinsi alivyo na umbo kubwa na mambo yake basi tafrani.Hahahaha hilo kundi la wakina tiny white nawakubali sana
hivi kuna watu wanachekeshwa na huyu jamaa??Pierre likuid
Hata humu wapo 😆hivi kuna watu wanachekeshwa na huyu jamaa??