Ngoja nikutajie mmoja naye ni Idris sultanNawew uchekeshi
Hahahaha hilo kundi la wakina tiny white nawakubali sanaKuna wengine hawajui kwenda na wakati.. Yani vichekesho vyao haviwezi dumu ata mwaka..
Mfano:ukiangalia vichekesho au movie za Tiny white, Ringo, Mr bean, charlie chaplin, Majuto kidogo, Mr bone na wengine wanaojua.. Ata kama movie ni za zamani lakini zinachekesha..
Lakini kwa sasa siwezi kuangalia vichekesho vya EBITOKE, WHOZU,MASANJA, na yule anaigiza kiziwi ..
Pierre likuid
Pilipili, Jay Nini sijui. yule muarusha na type yake wote
hilo kabila lina nguvu eehkuna mchekeshaji anaongea design kama mtu wa Arusha sijui WHOZU wanaangaika kupewa promo na ukabira ndio unawabeba lakini hakuna kitu pale ni utumbo tu, mchekeshaji bora bongo ni joti na mpoki basi.
kuna mchekeshaji anaongea design kama mtu wa Arusha sijui WHOZU wanaangaika kupewa promo na ukabira ndio unawabeba lakini hakuna kitu pale ni utumbo tu, mchekeshaji bora bongo ni joti na mpoki basi.
NakaziaMc pilipili
Idris ananichekeshaIdriss Sultan kwa kweli atafute kipaji kingine
Nashauri aache kuchekesha aigize kawaida.Kweli kabisa.
Nashauri aache kuchekesha aigize kawaida.
Uchekeshaji ni kipaji.
Sio Lazima uongee ili uchekeshe, wengine vitendo tu unacheka mpaka mbavu zinakaza.
Mfano Chalie Champlin, Mr. Bean.
Hapa bongo comedian halisi ni kama wale jamaa wa ze comedy ya kwanza kabisa EATV. Kina joti, mpoki, masanja. Japo sikuiz wameishiwa!
Huyu anachekesha sanaBrother K pia, muonekano wake tu ni kichekesho tosha.
clouds fm wanaotoa promo wanaukabila pale uchaga mwigi wanawabeba mpaka weusi hakuna lolote.hilo kabila lina nguvu eeh
ungozi wa clouds ni wachaga? Anyway ni mtazamo wako ila kwa Tanzania wa Kaskazini ni very talented kwenye nyanja za burudaniclouds fm wanaotoa promo wanaukabila pale uchaga mwigi wanawabeba mpaka weusi hakuna lolote.