Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

TUNAENDELEA NA MASHINE ZA CHAKI

mashine za kutengeneza chaki hizi zipo aina mbili ya umeme au ya mkono au manual

Mashine ya mkono au manual ni kuanzia tundu 100 hii ni million moja na laki mbili tu
Na hapa inategemea iwekewe stand au kawaida



Na kadri inazidi kuwa na matundu mengi ndipo mfumo wa umeme unahitajika maana itakuwa na mixer yake karibu 0763542515View attachment 1675037View attachment 1675039
Vifunshio vyake vinapatikana wapi mkuu. Baada ya kumaliza kuzalisha ni vyema nikajua vifungashio wap hupatikana
 
Kudos Bingwa na Hongera VETA
Kwa definition ya mzungu, nyinyi ndio real Engineers
You come with concept, you design, and you make it, Bravo....
Nawatakia kazi njema.....
 
Back
Top Bottom