Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Mashine ya juisi ya miwa zenye kibanda huondoki na miwa yako unaifungia hizi tunazitengeneza pia kwa million mbili na laki mbili tu
 
TUNAENDELEA NA MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI


Mashine za kupukukuchua mahindi inayotumia mafuta million mbili na laki tano ikiwa na engine million tatu na za kutumia umeme million moja na laki saba tu
 
Nasubiri mashine ya kuponda mawe kufikia size ya kokoto za lami. Ikielezea inapokea mawe max size gani, input/output per hour. Nikiridhika ni serious business
Usijali mkuu tutaielezea hapa hapa fuatilia huu Uzi
Lolote zaidi call/sms/WhatsApp 0763542515
 
TUNAINGIA MASHINE ZA BARAFU NA INCUBATOR MAELEZO KWA KINA NA GHARAMA ZAKE
 
Mkuu Hongera Sana kwa kutushirikisha Shughuli za watanzania Wenzetu wajasiriamali.. Naomba kuuliza Hizi za kusaga Bei Ni pamoja na Mota???
 
Mkuu Hongera Sana kwa kutushirikisha Shughuli za watanzania Wenzetu wajasiriamali.. Naomba kuuliza Hizi za kusaga Bei Ni pamoja na Mota???
Ndio mkuu hizi mashine tunazitengeneza kwa sasa ni kulipia na kuchukua zipo tayari stock
Hapo inakuwa ipo complete ndugu bado umeme tu



Pia upande wa umeme tutashauriana kwa mgeni katika uwekezaji mashine za kusaga na kukoboa
 
TUNAENDELEA NA PAVING MASHINE
HIZI ZIPO AINA MBILI ZA MKONO NA UMEME


ZA MKONO NI LAKI NANE TU UNAIPATA IKIWA NA MAUA MANNE AU MAWILI MAKUBWA UTACHAGUA


NA UMEME HIZI NI MILLION TATU NA LAKI NANE
 
Mashine za interlocking na Hydra block ni znahtajika na vibao vyake??,,,huwa nnadream hii kitu wakuu???...maana nlitakaga kunnua bambam Bei ya vibao ilinikata stim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…