bwii
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 1,429
- 2,660
Ngoja niendelee kujituliza zangu hapa kiwanja cha nyumban waswanu uzungun,karibun!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wana maumbo mabaya kuanzia mademu zao mpaka waume zaooo
Ngoja niendelee kujituliza zangu hapa kiwanja cha nyumban waswanu uzungun,karibun!
Sent using Jamii Forums mobile app
I always do jogging and gym in the evening,
Shikamoo mkuu huku nimekupigia na goti jamani
Ujue insta babe nimekuheshimu sana mpaka nimekuita na mkuukwa mara ya kwanza nakataa shikamoo yako insta babe
maana naona una kila dalili ya kunizushia kesi isiyo yangu kuhusu hadija akati nipo katika kipindi cha uangalizi ili uweze kunirudishia vyeo vyangu
hahahahah... insta babe huyu hadija huwezi amini hata namba yake sina...Ujue insta babe nimekuheshimu sana mpaka nimekuita na mkuu
Vyeo kwa style hii vinarudije jamani huku mtoto cutey kule mtoto hadija insta babe we kiboko kabisa
Hahahhaha insta babe vyeo haviwezi rudi kirahisi acha kwanza niendelee kukuchunguza jamanihahahahah... insta babe huyu hadija huwezi amini hata namba yake sina...
ila ilikuwa tu ndio muhudumu niliyezoeana naye yan nikienda pale lazma nimuulizie story mbili tatu basi
naomba tu vyeo vyangu virudi jaman...siku hizi nipo na mtekaji wangu basi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahah.... sawaaaaaa insta babeHahahhaha insta babe vyeo haviwezi rudi kirahisi acha kwanza niendelee kukuchunguza jamani
Upo chini ya uangalizi insta babe ila insta babe ujue we ni kiboko kabisa
hahahah... insta babe bhana hapo kwenye ukiboko unanieingiziaUpo chini ya uangalizi insta babe ila insta babe ujue we ni kiboko kabisa
Hahhaha hivi naanzaje kukusingizia jamani
Hahhaha hivi naanzaje kukusingizia jamani