Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 474
Popote utakapotaka mrembo ntakupeleka ni ww tu kusema twende wapiIla wewe bhn unapapenda waswanu twende zaoo chako ni chako nimemiss kuku choma na k vant nina hamu ya kulewaaa
Popote utakapotaka mrembo ntakupeleka ni ww tu kusema twende wapiIla wewe bhn unapapenda waswanu twende zaoo chako ni chako nimemiss kuku choma na k vant nina hamu ya kulewaaa
kwenye ile bar yao ya nje kuna muhudumu mmoja anaitwa HADIJA mrefu white kidogo mpole hivi daaaaaah..... unampata huyo?Nitakuwinda club 7 royal village hotel
kwenye ile bar yao ya nje kuna muhudumu mmoja anaitwa HADIJA mrefu white kidogo mpole hivi daaaaaah..... unampata huyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo cape town kisasa hapa demis, nasubiri muda wa lunch ufike nile.....
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo simjui asee.... me dom huwa nakuja na kusepa sichukuagi hata siku tatu.... so nimefanikiwa kujuana na huyo hadija.... she is so humble and cute
huyo simjui asee.... me dom huwa nakuja na kusepa sichukuagi hata siku tatu.... so nimefanikiwa kujuana na huyo hadija.... she is so humble and cute
Sent using Jamii Forums mobile app
doooooh kama kahama nani sasa atakaa pemben yangu tukipiga story huku nashusha moja moto moja baridi daaaaaah
doooooh kama kahama nani sasa atakaa pemben yangu tukipiga story huku nashusha moja moto moja baridi daaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
next week nategemea kuwa huko... ndio kiwanja nikiwa dom kile.... ntapita pale