Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

kwa mara ya kwanza nakataa shikamoo yako insta babe

maana naona una kila dalili ya kunizushia kesi isiyo yangu kuhusu hadija akati nipo katika kipindi cha uangalizi ili uweze kunirudishia vyeo vyangu
Ujue insta babe nimekuheshimu sana mpaka nimekuita na mkuu

Vyeo kwa style hii vinarudije jamani huku mtoto cutey kule mtoto hadija insta babe we kiboko kabisa
 
hahahahah... insta babe huyu hadija huwezi amini hata namba yake sina...

ila ilikuwa tu ndio muhudumu niliyezoeana naye yan nikienda pale lazma nimuulizie story mbili tatu basi

naomba tu vyeo vyangu virudi jaman...siku hizi nipo na mtekaji wangu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaha insta babe vyeo haviwezi rudi kirahisi acha kwanza niendelee kukuchunguza jamani
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom