Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

doooooh kama kahama nani sasa atakaa pemben yangu tukipiga story huku nashusha moja moto moja baridi daaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo simjui asee.... me dom huwa nakuja na kusepa sichukuagi hata siku tatu.... so nimefanikiwa kujuana na huyo hadija.... she is so humble and cute

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye ile bar yao ya nje kuna muhudumu mmoja anaitwa HADIJA mrefu white kidogo mpole hivi daaaaaah..... unampata huyo?



Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo mkuu huku nimekupigia na goti jamani
 
Back
Top Bottom