Uzi maalumu kwa wale waliowahi kuwa makuadi

Nakumbuka kipindi kile nilikuwa mjanja mjanja sana.. ila ni muoga wa kupindukia kwa madem..

Sasa kuna mshua flani akaomba namba zangu. Akanitaka tuonane. Bda ya vyakula na juice za kitonga Ndio mshua ananiambia kuna kazi nataka nikupatie..

Kuskiliza ni kazi gani. Kumbe kuna mrembo flani hivi mshua amefika bei. Sas kaniona mie ndio nafaa kwa kumuunganisha nae.. kuhusu pesa hakuna tatizo. Basi siku hiyo hiyo nikapewa20000 kwa ajili ya vocha ..

Mi nilichofanya, ni kumuambia yule demu. ' Oyah kuna mzee anakuelewa kisen**** na yuko na pesa ya kubadirishia mboga. Sasa usiniangushe.. '

Yule dada alikuwa hafanyi kitu bila kuniomba ushauri. Nami nikajikuta namla kimasihara..

Tukutane kwenye uzi wetu pendwa kwa kisa hiki cha kumla huyu dada kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app

 
si useme ni wewe tu ,,nani anakujua humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Me kipindi hicho nilikuwa Domo zege na nilikuwa nawaogopa mademu ile mbaya nikimuona demu ninaesoma nae darassa moja lazima nibadili njia.Uwoga wangu huo watu wengi waliujua Kama nimemuomba mwanafunzi mwenzako kitu Kama kitabu alafu ataki kunipa anasingizia nenda kwa yule demu ndo mwenye hiki kitabu umuombe akikukubalia nitakupa so anajua kwa uoga wangu kwa mademu lazima sitaenda kumfuata yule demu.Ukiachana na hapo pia nilikuwa siwezi kukaa siti pembeni Kuna demu.
 
Back
Top Bottom